.

.

.

.

Thursday, September 02, 2010

UPENDO NKONE KUFUNGA NDOA


Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za INJILI Bi Upendo Nkone ambaye amekuwa mjane kwa muda wa miaka tisa anatarajia kufunga ndoa na Mchungaji John Mbeyela oktoba 17 mwaka huu.
Upendo Nkone anatarajia kuagwa oktoba 11 nyumbani kwao Kigoma,Tanzania na ndoa yake na mchungaji huyo ambaye ni mjane mwenye watoto watatu itafungwa katika kanisa la Naioth maarufu lililopo Mabibo Makuburi jijini Dar es salaam.Mwimbaji huyo aliyeanza kuimba miaka mitano iliyopita amefanikiwa kutoa albamu tatu ambazo ni Mungu Baba,Hapa Nilipo na Zipo faida .

2 comments:

  1. Jamani tunamtakia kila la heri dada Upendo Nkono. kwa Mungu kila jambo linawezekana.

    ReplyDelete
  2. MY SISTER ALL IS WELL WITH GOD HAYO YALIKUWA MAPITO NA UMSHINDI NA YESU.A HAPPY FAMILY FULL OF BLESSING ITS MY WISH TO YOU DEAR.

    ReplyDelete