Meneja wa kinywaji cha Redds kinachozalishwa na kampuni ya (TBL) Kabula Nshimo akikaribisha wageni mbalimbali walioalikwa katika onesho hilo lililoandaliwa na kampuni hiyo kama wadhamini wenza wa Vodacom Miss Tanzania linalofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi usiku huu, Shindano la Vodacom Miss Tanzania limepangwa kufanyika Septema 11 mwaka huu jijini Dar es salaam.
Mrembo Geneviva Emmanuel akipita na kivazi cha Redds wakati wa onesho la Redds fashion Show lililofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi usiku wa jana likishirikisha warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania ambalo linatarajiwa kufanyika Septemba 11 jijini Dar es salaam.
Mrembo anayemaliza muda wake Miriam Gerald wa pili kutoka kulia pamoja na warembo wengineo waliohudhulia katika onesho hilo.
|Kutoka kulia Hashim Lundenga , Kalikumtima na kutoka kushoto ni Elihuruma Ngowi na Sebo pamoja na rafiki yao.
Kutoka kulia ni wadau Crala, Matina,Kalikumtima, MKaurus, Karito na kutoka kushoto ni Orvin na Abdul Kaude pamoja na rafiki yao wakijimwaga katika Redds Fashion show
KWA HISANI YA FULL SHANGWE BLOG
YANI MWAKA HUU UMISS ATUFIKI POPOTE MASHINDANO YA DUNIA...UO MGUU NA PAJA KWELE UU NI UMISS AU MISS BANTU?
ReplyDelete