.

.

.

.

Saturday, October 16, 2010

YANGA YAIFUNGA SIMBA BAO MOJA BILA

YANGA FC (Watoto wa Jangwani) jioni ya leo imefanikiwa kuwafunga mahasimu wao wakubwa (Wekundu wa msimbazi) kwa goli moja kwa Nunge kwenye mtanange wa ligi ya vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mfungaji akiwa Tegete.

No comments:

Post a Comment