.

.

.

.

Tuesday, May 26, 2009

MGAMBO WA JIJI

Mfanyabiashara ya nyanya katika soko la Kariakoo aliye fahamika kwa jina la Veronica akipambana na Askari Mgambo wa Jiji wakati walipokuwa wakichukua bidhaa yake ,kitendo hicho kimempelekea mama huyo kumwacha uchi jambo ambalo ni kinyume na sheria za haki za binadamu.

2 comments:

  1. pia kukataaa amri halali ya kukamatwa ni kinyume cha sheria, tusiangalie shilingi upande mmoja

    ReplyDelete