BERRY BLACK AKIIMBA LIVE HUKU WASHABIKI WAKE WAKISHANGILIA KWA VIFIJO Pozi na Malumbos Jr Dada huyu hakuvumilia ilibidi apande jukwaani
Akipozi na mashabiki Nyomi tele
DJ. RAMA & BERRY BLACK
MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA BERRY BLACK KUTOKA ZANZIBAR TANZANIA JUMAMOSI YA TAREHE 5.02.2011 ALIKAMILISHA EUROPEAN TOUR YAKE KWA KUFANYA SHOO YA MWISHO KATIKA JIJI LA MUNICH NCHINI UJERUMANI.
No comments:
Post a Comment