.

.

.

.

Monday, March 21, 2011

LTHINA CHRISTOPHER AWA "KISURA WA TANZANIA 2011"

Kisura wa Tanzania 2011 Lethina Christopher(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa mshidi wa taji la Kisura Tanzania 2011 Usiku wa juzi Kilimanjaro Kempinsk jijini Dar es Salaam Mshindi wa Pili ni Neema Kilango kulia na Mshidi wa Tatu ni Flaviana Makungwa.Picha na Mdau Ahmed Michuzi
SITA BORA
KUMI BORA


WAGENI WAHUDHULIAJI

No comments:

Post a Comment