.

.

.

.

Monday, April 25, 2011

ABATIZWA JUMATATU YA PASAKA

PAROKO wa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay, Dar es Salaam, Joseph Mosha, akimshikisha mshumaa wa kumuangazia amaishani mtoto Sharon Dande, baada ya kumbatiza leo katika kanisa hilo.
PAROKO wa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay, Dar es Salaam, Joseph Mosha, akimbatiza kwa maji mtoto Sharon Dande, leo katika kanisa hilo

No comments:

Post a Comment