.

.

.

.

Thursday, April 14, 2011

AIRTEL YATUA KWA BABU

Image
Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya simu baada ya kampuni ya simu ya Airtel kuzindua mnara wa mawasiliano kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani, Jumanne wiki hii.

No comments:

Post a Comment