.

.

.

.

Wednesday, May 11, 2011

IBADA YA KUIOMBEA TANZANIA HAPA UK YAFANYIKA WESTMINSTER ABBEY


MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, BWANA PETER KALLAGHE (WA NNE KULIA), MKEWE MAMA JOYCE KALLAGHE ( WA TATU KULIA), MAMA BERTHA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE TANZANIA(DIASPORA DESK) WA NNE KUSHOTO), BAADHI YA MAOFISA WA UBALOZI, VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA HAPA LONDON, WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA KUIOMBEA NCHI YETU TANZANIA. IBADA HIYO AMBAYO HUFANYIKA KILA MWAKA KATIKA KANISA HILO, HUANDALIWA NA KANISA HILO LA WESTMINSTER ABBEY.

No comments:

Post a Comment