.

.

.

.

Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHAYA HUSSEIN AFARIKI DUNIA


Habari ambazo tumezipata zinasema kwamba Mtabiri mkubwa Africa Mashariki na kati SHEIKH YAHYA HUSSEIN amefariki Dunia ........ Matukiouk imepata habari hizi kupitia kipindi cha Raha Leo kinachorushwa na redio ya cloudsfm ........ tutazidi kupashana habari kadri habari tutakavyozipata kuhusiana na kifo chake .
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment