.

.

.

.

Sunday, May 22, 2011

WAFANYA BIASHARA HAPA UK WAKUTANA NA WAZIRI MKUU


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akipata maelezo toka kwa Balozi Peter Kallaghe alipokutana na wafanya biashara wa kitanzania nchini Uingereza jana jijini london. Kulia ni Mkurugenzi wa Swift Freights Uk Ltd. kampuni tanzu ya kusafirisha mizigo nchini uingereza Bw. Abubakar Faraji.

No comments:

Post a Comment