.

.

.

.

Monday, May 23, 2011

WASHITAKIWA KESI YA EPA WALA MIAKA 5

Washitakiwa katika kesi ya wizi wa Sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya madeni ya nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Farijala Hussein (kushoto) na Rajabu Maranda (kulia)
Washitakiwa katika kesi ya wizi wa Sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya madeni ya nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Farijala Hussein (kushoto) na binamu yake Rajabu Maranda (kulia) wakiwa katika ulinzi mkali wa jeshi la Polisi wakati wakitoka Mahakamani mchana huu na kupelekwa rumande mara baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela.

No comments:

Post a Comment