.

.

.

.

Thursday, July 07, 2011

MAMA MARY NAGU ................Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu akiwa katika mazungumzo na Msemaji Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma wakati waziri huyo alipotembelea jengo la Wizara ya Fedha na Uchumi katika Maonesho ya Kamataifa ya Biashara, Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Msemaji Mkuu wa Wazara ya Fedha, Ingahedi Mduma akimkabidhi zawadi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu akifurahia zawadi yake aliyoipata leo mchana alipotembelea Jengo la Wizara ya Fedha na Uchumi, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Bashara, Sabasaba yabnayoendelea jijini Dar es Salaam. Picha zote na Kitengo cha Habari, Wizara ya Fedha.

No comments:

Post a Comment