.

.

.

.

Wednesday, August 31, 2011

CHEGE NA TEMBA WATUA JIJINI LONDON


Chege na Temba Watoto wa TMK wakiwa na Wyre pamoja na Mwenyeji wao Dj Rule mara baada yakuwasili na pipa uwanja wa ndege wa Heathrow wakitokea Bongo hapo jana tayari kwa makamuzi ya kufa mtu kuanzia IJUMAA hii Milton Keynes na JUMAMOSI jijini London.

No comments:

Post a Comment