.

.

.

.

Tuesday, August 09, 2011

PICHA ZA MATUKIO YA VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA UINGEREZA HUSUSAN JIJI LA LONDON

Magari yakiwa yanawaka moto sehemu mbalimbali za jiji la London.
majengo kadhaa yamechomwa moto
Gari likiungua baada ya kuchomwa moto na vijana
vijana wakiwa wamejaa nje ya duka la nguo baada ya kulivunja na kuanza kubeba kila kilichomo
Jengo likiwa limeteketea kwa moto katika kitongoji cha Croydon
Balaa mitaani


No comments:

Post a Comment