.

.

.

.

Wednesday, August 10, 2011

VODACOM MISS TZ 2011 "TOP MODEL"

Hawa ndio top 5 kati ya warembo 30 wa Miss Tz 2011 ya Vodacom ambao mmoja wao atachaguliwa kuingia moja kwa moja kwenye nusu fainali ya kitaifa ya mashindano ya mrembo wa TAJI LA VODACOM MISS TZ 2011. Shughuli hii ilifanyika usiku wa jana
Baadhi ya washiriki wakipita mbele ya majaji.

No comments:

Post a Comment