.

.

.

.

Wednesday, September 21, 2011

MADHARA YA DAWA YA UKIMWI .....

Joseph Mkanda
BAADHI ya wanaume wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa za kurefusha maisha wamejikuta wakivimba matiti yao na kuwa makubwa kama ya wanawake.

Vilevile, wanawake wanaotumia dawa hizo wanalalamika kukutwa na matatizo kadhaa ikiwa ni pamoja na ulemavu.

Joseph Mkanda (43) amekumbana na tatizo la dawa hizo ikiwa ni pamoja na kuvimba matiti. Mwanzoni alihisi ni kutopata chakula bora, lakini akagundua kwamba ni aina za dawa anazotumia.

“Naona aibu sana kutoka nje ya nyumba yangu, kwani nimepata matiti kama mwanamke…. Naona watu wakiniona watanicheka,” anasema

HABARI KWA HISANI YA GP

No comments:

Post a Comment