.

.

.

.

Friday, September 23, 2011

SHEAR CHARITY BALL NJIANI .......


Mkurugenzi wa Kampuni ya Shear Illusions na Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi Shear Charity Ball,Shekha Nasser akiongea na waandishi (hawapo pichani)jana jijini Dar es Salaam wakati akitanga kundi Kundi la wacheza Dansi wa muziki wa Salsa la ‘Mutati Dancers’ toka nchini Kenya litakalo tumbuiza siku ya tafrija ya hisani ya kila mwaka ya Shear(Shear Charity Ball 2011) yenye lengo ya kutunisha mfuko na kusaidia akina mama wenye matatizo ya fistula katika hospitali ya CCBRT na pia kuwezesha ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana.Tafrija hii ya hisani itafanyika tarehe 01 Oktoba kuanzia saa moja kamili jioni katika ukumbi wa Kivukoni, uliopo katika hoteli ya Movenpick,jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment