.

.

.

.

Friday, September 23, 2011

USALAMA BARABARANI

Mama huyu ambaye ni mlemavu wa miguu, akijaribu kupenya na Baiskeli yake katikati ya magari kwenye Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam jana, wakati akiomba msaada kwa wasamalia wema, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wake.

No comments:

Post a Comment