.

.

.

.

Monday, October 03, 2011

JOSEPH KUSAGA JIJINI NAIROBI

Mkurugenzi wa Clouds Entertainment Joseph Kusaga(Kushoto)akiwa katika Picha ya Pamoja na Mkewe Juhayna Kusaga na Godfrey Kusaga(Kulia)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Prime Time Promotion ya Jijini Dar es Salaam Juhayna Kusaga(Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliotinga kushuhudia tamasha la Tusker All Stars 2011 lilofanyika Jana Kwenye Viwanja Vya Carnival Jijini Nairobi
Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Entertainment Joseph Kusaga(Kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali kwenye Tamasha la Tusker All Stars 2011 lilofanyika kwenye Viwanja Vya Carnival Jijini Nairobi

No comments:

Post a Comment