MAMBO YA CABO SNOOP
Mwanamuziki Cabo Snoop kutoka nchini Angola akifanya vitu vyake jukwaani huku akisasaidiwa na meneja wake kulia wakati wa tamasha la Family Day Bonanza lililofanyika majuzi kwenye viwanja vya Leadesr Kinondoni jijini Dar es salaam na kushirikisha pia wasanii kadhaa wa nyumbani Tanzania wakiwemo Diamond, Islay na Baendi ya African Stars ya jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment