.

.

.

.

Friday, October 21, 2011

TWANGA PEPETA WANAKUJA UINGEREZA MWEZI UJAO


Mkurugenzi Wa Twanga Pepeta Katikati Asha Baraka Akiongea na waandishi wa Habari Kuhusu Uzinduzi na Ziara UK .

---

Baada ya kufanya na Kumaliza uzinduzi wa albamu yao kabambe tarehe 6 Novemba 2011 ASET wakishirikiana na URBAN PULSE CREATIVE Wanatarajia kuwaburudisha wapenzi wa Bendi Maarufu ya Twanga Pepeta Nchini Uingereza mwishoni mwa Mwezi wa Novemba.
Show Hii Maalum ni kwa ajili ya kuazimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Tarehe pamoja na maelezo ya Ukumbi yatafuatia mda sio mrefu. Hivyo wadau kaeni mkao wa Kula.
Asanteni,
Urban Pulse Creative.

No comments:

Post a Comment