.

.

.

.

Monday, November 07, 2011

PRINCE CHARLES WA UINGEREZA ATUA TANZANIA

Prince Charles wa Uingereza akikaribishwa Ikulu na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Akisalimiana na Mama Salma Kikwete

Wakipanda Ngazi kuingia mlango mkuu wa Ikulu.
Picha ya pamoja toka shoto Mama Salma Kikwete,Prince Charles,Rais JK na Mke wa Mgeni Camila ( The Duchess of Cornwall )

No comments:

Post a Comment