.

.

.

.

Friday, November 11, 2011

MAMBO YOTE AMSTERDAM


UMESHA WAHI WAONA MA-STAR HAW.A WAWILI WAKIWA KWENYE STAGE WANAFANYA SHOW? WADADA HAWA WAWILI SONIE SISHIKIKI NA LADY JEE AU RITA NI MOTO WA KUOTEA MBALI. USIKOSE KUJA KUWAONA , KUFURAHI NAO NA KUCHEZA NAO HAUTA AMINI MACHO YAKO NA WANATOKA HAPA HAPA HOLLAND SIYO MBALI. WADADA HAWA WALIO IBUKIA GHAFLA KWENYE FANI HII YA MUZIKI NA KUWA JUU KABISA WATAFANYA LIVE SHOW KWANZA KABLA AMOUR NA SHIRKO AU SAV CLAN TOKA KENYA HAWAJA PANDA JUKWAANI

1 comment: