.

.

.

.

Saturday, January 21, 2012

MWILI WA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI WAAGWA KWA HESHIMA ZOTEJeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho (PICHA NA IKULU)


Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo
Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo

No comments:

Post a Comment