.

.

.

.

Saturday, February 25, 2012

RAIS KIKWETE YUKO NCHINI BOTSWANA
. Rais  Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, jana February 24, 2012 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia athudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Democratic Party. hapo uwanjani amepokelewa na Rais wa Botswana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama., ikiwa ni pamoja na ngoma ya makhirikhiri pamoja na wakaazi wa Bostwana kumlaki kwa shangwe na kukagua gwaride. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment