.

.

.

.

Wednesday, June 27, 2012

BONGO INAVYOPENDEZA


1 comment:

  1. Hakuna faida yoyote ya kusema Dar bongo inapendeza kwa mantiki ipi?Unaposema kitu kinapendeza na kizuri kuna sifa zinazofanya hicho kitu kupendeza.Nchi hii haina sababu ya kusema inapendeza wakati hali ya maisha ya watu ni magumu mno.Nchi haina maji ya uhakika umeme wa uhakika sasa kuna sababu gani ya kuisifia nchi ambayo matatizo kama maji na umeme ni shida.Nchi nyingi duniani ziko mbele na kushughulikia mambo mengine ya maana zaidi na sio maji na umeme.Tanzania haina sababbu ya kujenga mijengo mikubwa na kujifanya shindana na USA au kwingineko wakati vitu vidogo kama maji na umeme unasumbua kwa miaka nenda rudi.Hizo pesa za kujenga mijengo mikubwa kama hii ya kujisifia kwani nini zisienda kwenye sekta ya maji au umeme au ndio wizi ufanyike kwanza na rushwa ndio vingine vifuatwe?Nchi hii inanuka kwa rushwa na maneno mengi tu ya uswahili na vitendo hakuna tubadilike tauche wizi tuweke vitu vya maana umuhimu kabla ya kujenga mijengo mikubwa na kujisifia wakati vitu vidogo vinatushinda.

    ReplyDelete