.

.

.

.

Friday, June 01, 2012

MISS REDDS MTWARA KUFANYIKA KESHO


Warembo watakaopanda jukwani kumtafuta Juni 2, 2012 kuwania taji la Redds  Miss Mtwara 2012 Wakimsikiliza mkufunzi wao Isabela Mpada (MISS RUVUMA 2006),shindano hilo linataraji kufanyika katika ukumbi wa Makonde Beach mjini humo.
Vimwana wanaoshiriki shindano la Redds Miss Mtwara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.
Warembo wanaowania taji la Redds Miss Mtwara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na muandaaji wa shindano hilo  Rajab Mchatta. Shindano hilo linataraji kufanyika kesho Juni 2, 2012 mjini humo katika ukumbi wa Makonde Beach. 


Chanzo; Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment