.

.

.

.

Saturday, August 18, 2012

BWAWA LA MAINI LAKUNG'UTWA 3-0West Brom imeifunga Liverpool iliyocheza pungufu ya mchezaji mmoja katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu, kwenye Uwanja wa Hawthorns, mabao ya Zoltan Gera, Peter Odemwingie kwa penalti na Romelu Lukaku anayecheza kwa mkopo, yaliyomzima kocha mpya wa Wekundu wa Anfield, Brendan Rodgers.
Hit man: Zoltan Gera opens the scoring with a thunderbolt
Zoltan Gera akifunga bao la kwanza
Smasher: West Brom's Zoltan Gera (left) celebrates
Zoltan Gera (kushoto) akishangilia

Cool head: Peter Odemwingie scores their second goal from the penalty spot
Peter Odemwingie akifunga la pili kwa penalti
Tussle: Liverpool's Lucas Leiva challenges James Morrison of West Brom
Lucas Leiva wa Liverpool akichuana na James Morrison wa West Brom

1 comment: