.

.

.

.

Sunday, August 19, 2012

RAIS JK ASHIRIKI SWALA YA IDD KINONDONI MUSLIM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini kusikiliza  mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika  msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya  ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na waumini  katika  msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya  ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012

No comments:

Post a Comment