.

.

.

.

Friday, September 14, 2012

MABASI YA UDA KURUDI KWA KASI

Mabasi ya shirika la usafiri Dar es salaam ( UDA) Yakiwa yanawekwa nembo yao.Inasemekana UDA tayari wanayo mabasi yapatayo 500 .Nakutokana na kutengenezwa kwa barabara ziendazo kwa kasi jijini huenda suala la matatizo ya usafiri jijini kubaki ni historia.

No comments:

Post a Comment