.

.

.

.

Wednesday, September 05, 2012

WASHINDANI WA REDDS MISS ARUSHAWashiriki wa Redds Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezi kujiandaa na shindano lao litakalo fanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya naura Spring jijini Arusha. Jumla ya waremo 11 wanataraji kuchuana vikali kuwania taji hilo. (picha na Father Kidevu Blog).

No comments:

Post a Comment