.

.

.

.

Sunday, October 07, 2012

RICK ROSS AKIPAGAWISHA SERENGETI FIESTA


MTU MZIMA RICK ROSSSehemu ya umati watu waliojitokeza kila kona jiji la Dar na kwingineko kuwashuhudia wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2012,akiwemo Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross.

Wasanii wa kundi la Wanaume TMK,likiongozwa na Mh Themba sambamba na Chege Chigunda wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,

Nyomi la Watu ile balaa .

No comments:

Post a Comment