.

.

.

.

Sunday, December 16, 2012

KOFII OLOMIDE NA LATIN QUARTER WAPAGAWISHA JIJI LA DAR ES SALAAM
 
Mwanamuziki  Kofii Olomide akiimba jukwaani 

Kofii Olomide akiimba na mmoja wa waimbaji wake .Mwanamuziki Kofii Olomide  akiwa na mmoja wa waimbaji wake wa kike wakipagawisha mashabiki wa bendi hiyo  waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Leaders ili kushuhudia kile anachokifanya jukwaani. Koffi Olomide akimshukuru Mkurugenzi wa Kampuni ya Clouds Media Group Joseph Kusaga na mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika onesho hilo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.
.
Mwanamuziki Kofii Olomide akiwa amezungukwa na  wanenguaji wa bendi yake
 
Mambo hayo asiye na mwana aeleke jiwe

.
Mboni Masimba wa kipindi cha Mboni Show (shoto) na Vipusa wengine kwenye shoo ya KOFII

Juhayna Kusaga( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake katika onesho hilo.
Vimwana wakipozi kwenye Kodak
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuru wa pili kutoka kushoto na Mdau Teddy Mapunda watatu kutoka kushoto wakipozi kwa picha na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti.


 
Vimwana

Wanenguaji wa bendi ya Mapacha watatu


KWA HISANI YA  CUTHBERT ANGELO

No comments:

Post a Comment