.

.

.

.

Tuesday, December 11, 2012

THT YASHEREKEA MIAKA SABA TOKA KUANZISHWAFamilia ya THT ikiwa jukwaani wakati wa kusherehekea miaka 7 toka kuanzishwa.

Shilole akimdatisha shabiki aliyepanda stejini.
Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
DJ Bulla kutoka Clouds FM akifanya vitu vyake.
Queen Darleen akiwarusha mashabiki.
Dogo Aslay na Bi. Cheka wakikamua.
Diva Loveness wa Clouds FM akiwasabahi mashabiki.
...Burudani zikiwa zimepamba moto.
Rachel akiwapagawisha mashabiki wake.

Ben Pol akicheza na mashabiki wake.


Msanii Ditto akiwapa tano mashabiki.WASANII wa nyumba ya vipaji, Tanzania House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia jana waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo Mabagala jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la kukuza vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa burudani hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyojili ukumbini hapo.
(PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL )

No comments:

Post a Comment