.

.

.

.

Thursday, March 07, 2013

KIKOSI CHA PAZI BASKETBALL TEAM MIAKA YA 1980 - 1990

PAZI BASKETBALL TEAM miaka ya themanini . Naomba wenye majina ya wote kwenye hii Picha muyaweke kwenye comments wadau wajikumbushe kikosi hiki cha kazi

Baadhi yao ni Mzee wa chama ( MALAI ) RIP, "Wakubandego" Raymond Ndashau RIP, Aziz Kaketa, Hassan Kange, Bana Abbas Mansoor, Paul Nhigula, Saleh Zonga, Dr. Hassan Mtwangi "Tiger", Pachel, BJ, Fundikira Kipaya, Menradi Hubert, Coach Abdalah Aboud, Halji, Mzee Sidi Kikenya; 

No comments:

Post a Comment