Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka (kulia) mwandaaji wa Party ya  Bongo Black Ball iliyoenda sambamba na uzinduzi wa kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing inayomilikiwa na mbunifu huyo.
Nainua mkono Mama Kitambaa cheupe…… ishara ya Upendo Mama….. Wageni waalikwa wakiserebuka kwa raha zao ndani ya ukumbi wa Mlimani City.
Wake kwa waume walipeperusha vitambaa vyeupe hewani.
Palinogaje wewe tu ndio umekosekana….
Wageni waalikwa wakilisakata Rhumba kutoka kwa DJ Peter Moe mzee wa Groove Back 

Nyeusi zilitawala ndani ya ukumbi wa Mlimani City.

DJ Peter Moe na DJ Venture .
Ankal Issa Michuzi na Mai waifu wake akishow love na wadau.
Wabunifu wa Mavazi nchini.
Rio Paul na Redd’s Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred 
.