.

.

.

.

Friday, April 12, 2013

KODAK ZA PARTY YA KUMPONGEZA RAIS UHURU KENYATTA BAADA YA KUAPISHWA

Toka shoto Mh,Ruto,Mama Salma Kikwete,Mheshimiwa Rais Kenyatta,Mh Rais Dkt Jakaya Kiwete,Mama Margareth Kenyatta na Mama Rachel Ruto katika picha ya pamojaWake wa Marais katika Mazungumzo

Hongera sana Mheshimiwa Rais

Rais aliyemaliza muda wake Nchini Kenya Mh.Mwai Kibaki akiwa na Raisi wa South Africa Mh.Jacob Zuma
Mh Rais Kenyatta akiwa na Mh Rais wa Sudan ya Kusini Salva Kiir Mayardit
Mh .Rais Uhuru Kenyatta akiwa na Mh Raisi Joseph Kabila wa DRC


Mama Margareth Kenyatta akiwa na Rafiki wa familia Miss Edna Malongo

No comments:

Post a Comment