.

.

.

.

Monday, April 22, 2013

PETER LAZARUS AFARIKI DUNIA


KWA MASIKITIKO MAKUBWA PETER LAZARUS AMETUTOKA DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO. 
MSIBA UPO MBEZI KARIBU NA FLATS ZA NSSF.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
 + 255 713 249433

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA AMEEN !
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI

                             
Kwa Ndugu marafiki na jamaa wataopenda kuchangia familia ya marehemu kwenda kumzika mpendwa wao Tanzania

Mnaombwa kuweka michango yenu katika Acount ifuatayo"


Benki: HSBC BANK
Account name: WTM Utility service's
Sort code:40-09-06
Account number: 71666975 
Kwa taarifa zaidi wasiliana na wafuatao'
Wilson Mutabazi      -07887694186
Jerome      -07908630922
Abu Faraj
i      - 07515373904

No comments:

Post a Comment