.

.

.

.

Wednesday, May 22, 2013

MTWARA HALI SII SHWARI


Mabomu ya machozi yalirindima na huduma zote za kijamii zilifungwa pamoja na usafiri, masoko, maduka na bar zote zilifungwa, daladala, Taxi na Bodaboda hazikufanya kazi.Mapambano makali kati ya Jeshi la polisi na wananchi wenye hasira wanaopinga vikali kuendelea kwa mchakato wa gesi ilihali nchi ikiwa haina sera inayosimamia nishati hiyo.

Kufuatia Kambi ya Upinzani kuukataa mpango wa serikali wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara Mpaka Dar es salaam ilihali Waziri wa Nishati akisoma hotuba yake Profesa Sospeter Muhongo alisema bomba la gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam ndipo Wananchi wa Mtwara walicharuka! Daraja la Mikindani limevunjwa hakuna mawasiliano Mtwara na Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment