.

.

.

.

Tuesday, June 04, 2013

TASWIRA NA HABARI TOKA REDDS DAR CITY CENTER 2013

Mshindi wa Redd's Dar City Center 2013, Alice Isack akipozi kwa picha mara baada ya kuvikwa taji hilo  katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam


 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam
 Warembo waliofanikiwa kuingia katika hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
 Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (kulia) akiwauliza maswali warembo walioingia 5 bora.
 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam. Mkoni ni moja ya zawadi zao.
 Redd's Miss Tanzania 2012 pamoja na Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu wakifuatilia shindano hilo. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Ramesh Patel.

No comments:

Post a Comment