| Mwili wa Maimuna ukipelekwa kwenye gari kwa ajili ya maziko mara baada ya swala msikitini. |
 |
| Mama Mzazi wa marehmu(katikati) akiwa ameshikiliwa na marafiki zake alipoenda kuangalia kaburi la mwanae baada ya maziko. |
 |
| Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika kutazama kaburi la marehemu Maimuna Fatma Karumba |
 |
| Mama mkubwa wa marehemu (mwenye mtandio wa orange) Esther akiweka maua kaburini |
 |
| Ilikuwa na huzuni na majonzi |
 |
Ndugu jamaa na marafiki kaburini
|
 |
| Hans, Jesse, Hilal na Meru makaburini mara baada ya maziko |
 |
| Mzee Matata |
R.I.P Maimuna Fatma Karumba.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
No comments:
Post a Comment