.

.

.

.

Thursday, August 22, 2013

JOYCE KIRIA ARUDI NA MSIMU WA TATU

 
Joyce Kiria Wanawake Live msimu wa tatu, umerudi katika tv yako ya kijanja EATV, kama kawaida ni saa tatu kamili, usikose mengi umeandaliwa humo ikiwa ni pamoja na kuyafanyia kazi maoni yako na kuwafikia huko huko mliko, mjini kwa sasa hatutakaa sana japo hatuwezi kuondoka kabisa.

Ufunguzi wa kipindi, nikiyarudi na ngoma mpya ya "Wanawake Live"... Na studio imependeza kuashiria moto mkali wa msimu mpya wa tatu.
Superwoman mwenyewe JOYCE KIRIA na Wanawake Live...

No comments:

Post a Comment