.

.

.

.

Thursday, September 05, 2013

WEMA SEPETU NA WADAU WAKIBURUDIKA NA " SKYLIGHT BAND "



IMG_4546
 Wema Sepetu
 

IMG_4347
Rappa Joniko Flower akiwakimbiza mashabiki wa Skylight Band na Style ya Mukanda wa chuma chuma…..!
IMG_4352
Shabiki wa Skylight Band akionyesha manjonjo yake jukwaani…..Palinoga ni balaaa.
IMG_4354
Hapo sasa twende kazi…marafiki wakimshangilia rafiki yao jukwaani.

IMG_4374
Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitoa burudani huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Digna.
IMG_4421
Superstar Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa na mrembo wa kizungu pamoja na JEMBE wakishow love 
IMG_4412
Maimatha wa Jesse akishow love na marafiki alipotinga kwenye kiota cha Thai Village kuanza week end yake na burudani za Skylight Band.


IMG_4370
Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.

.
IMG_4433
Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band
IMG_4447
Utamu ulipokolea wengine walipiga nduru, wengine walishika vichwa…….Hapana chezea Skylight Band.
IMG_4452
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo alishika atamu kuwarusha mashabiki wa Skylight Band.



.
IMG_4466

IMG_4471

Mastaa Wema Sepetu na Kajala Masanja.

.
IMG_4498
Mduara ulihusika kama kawaida.
IMG_4507
Wema Sepetu na Kajala wakibadilishana mawazo huku burudani ya Skylight Band ikiendelea.
IMG_4546
Pichani juu na chini ni Wema Sepetu akimpagawisha Sam Mapenzi wa Skylight Band 
IMG_4552
Sam Mapenzi akimwimbia Wema Sepetu ndani kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar .
IMG_4555
Petit Man naye hakukubali kulishindwa akamuonyesha Wema ufundi wake kwa kusakata Sebene la Skylight Band.
IMG_4473
Nyomi
IMG_4477
Wadau wa Skylight Band kutoka kijitonyama.

Wadau wa ukweli wenye mapenzi na Skylight Band camera yetu uliwamulika.
IMG_4482
Wasanii wa Bongo Flava kutoka kushoto ni Shetta, TID pamoja na Dully Sykes nao walikuja kula bata na Band ya vijana, wakubwa kwa watoto yenywe Swaggaz za ukweeeh Skylight Band.


IMG_4535
Benny Kinyaiya, William Malecela na Wema Sepetu.
IMG_4542
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Digna pamoja na Mary Lucos wakishow love.
IMG_4454
Mdau Cathbert Kajuna wa Kajuna Blog  (kulia)

Source: Dewjblog

No comments:

Post a Comment