.

.

.

.

Tuesday, February 25, 2014

ENEO KUBWA LINAUZWA CHUKWANI ZANZIBAR
ENEO LIKO CHUKWANI UKIPITA NYUMBA YA ZAKARIA,  TURN LEFT AROUND 5 MINUTES WALK

UKUBWA NI AROUND 3500 SQUARE METERS  
SEHEMU YA MLINZI 
20 FT CONTAINER STORAGE

UMEMETAYARI UPO
KISIMA CHENYE PUMP KINACHOTUMIKA KWA UMWAGILIAJI.

MINAZI, MICHUNGWA, MIFENESI, MIDIMU, MIBALUNGI, MILIMAU, MIPERA

HATI ZOTE ZIPO

WASILIANA NA

NASSOR SALIM   +255 777 492582
SAID ZAMIL         +255 659 453753 / 778 484832

No comments:

Post a Comment