.

.

.

.

Wednesday, March 19, 2014

MASOGANGE KUOLEWA KARIBUNI !!!


clip_image002AGNESS MASOGANGE


Mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD"masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. 
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram



clip_image002[6]
clip_image002[8]
clip_image002[10]
clip_image002[12]

No comments:

Post a Comment