.

.

.

.

Saturday, May 23, 2015

TUZO ZA WATU 2015





Tuzo za watu 2015 zimetolewa Ijumaa hii kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa ‘surprises’ za kutosha. Mshindi mkubwa kwenye usiku huo na ambaye amekuwa surprise kwa wengi ni mtangazaji wa TBC FM, D’jaro Arungu aliyeibuka na tuzo mbili. 

D’Jaro alikuwa akishindana na Millard Ayo kwenye vipengele hivyo viwili ambaye hata hivyo alishinda pia kipengele cha blog inayopendwa.
“Mtu yeyote aliyekuwa anashindani halafu anaamini anaweza kupata nafasi lazima imshtue,” Millard ameiambia Bongo5





Hii ni orodha kamili ya washindi

Mtangazaji wa redio anayependwa
D’Jaro Arungu – TBC FM

Kipindi cha redio kinachopendwa
Papaso – TBC FM

Mtangazaji wa runinga anayependwa
Salim Kikeke – BBC Swahili

Kipindi cha runinga kinachopendwa
Mkasi – EATV

Blog/Website inayopendwa
Millardayo.com

Muongozaji wa video anayependwa
Hanscana

Muongozaji wa filamu anayependwa
Vincent ‘Ray’ Kigosi

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
Wema Sepetu

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
Hemedy PHD

Mwanamuziki wa kike anayependwa
Lady Jaydee

Mwanamuziki wa kiume anayependwa
Alikiba

Filamu inayopendwa
Kigodoro

Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz 

No comments:

Post a Comment