.

.

.

.

Thursday, July 23, 2015

DIAMOND AWASHUKURU WATANZANIA

????????????????????????????????????
Salam Sharaf  Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari  huku mwaamuziki huyo mwenye miwani  akifuatilia wakati wa  mazungumzo na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa mchango wao kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika  jiji la Durban  Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni mwa wiki iliyopita na kumfanya mwanamuziki huyo alishinda alishinda  katika kipengere cha Mtumbuizaji Bora (Besta Live Act)  katika tuzo hizo za MTV MAMA. Mkutano huo umefanyika kwenye hoteli ya Tansoma Kariakoo jijini Dar es salaam.(PICHA NA FULLSHANGWE BLOG -DAR ES SALAAM)
????????????????????????????????????
Salam Sharaf  Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari  huku mwaamuziki huyo mwenye miwani  akifuatilia alipozungumza na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika  jiji la Durban  Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Nassib Abdul (Diamond Platnumz)  akizungumza na waandishi wa habari  huku akiwana tuzo yake aliyoipata nchini Afrika Kusini

No comments:

Post a Comment