.

.

.

.

Tuesday, October 13, 2015

AINA MPYA YA SARUJI YAZINDULIWA 
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji iitwayo “Tembo Supaset 42.5”leo Oktoba 12, 2015 katika ofisi zao jijini Dar es Salaam. Anayemfuatia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania, Catherine Langreney pamoja na Mkurugenzi wa Mauzo, Stanslaus Mmbaga. 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania, Catherine Langreney (katikati) akishangilia pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) pamoja na akiwa na Mkurugenzi wa Mauzo, Stanslaus Mmbaga mara baada ya uzinduzi wa chapa mpya ya saruji iitwayo “Tembo Supaset 42.5” katika ofisi zao jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment