Ikiwa imebakia takribani wiki mbili kabla mwanadada mwimbaji toka bongo hajakamua vilivyo ndani ya jiji la Leicester,UK tayari kuna gumzo kubwa juu ya ujio wake na hasa ikizingatiwa shoo ni mbili tuu zitakazofanyika CLUB JJ wadau toka sehemu mbalimbali za UKEREWE wamepania kuja kumpa shavu kimwana huyu. K-lynn karibu uwaonyeshe how crazy u are over them.
No comments:
Post a Comment